THE TWINS WAKIMBILIA AFRIKA KUSINI.

Baada ya kimya cha muda wa Takribani mwaka mmoja toka walipoachia video ya wimbo unaoitwa Calvary kwa mara ya kwanza katika mwaka 2019 Wa Amua Kukimbilia Afrika Kusini.
Audio: The Twins ft. Andile Mbili - Mkono Wako (isandla Sakho) | Download MP3
The twins Wameachia wimbo wao mpya kabisa unaoitwa Mkono Wako wakiwa wamemshirikisha Andile Mbili mwimbaji kutoka nchini Afrika Kusini.

Mkono Wako ni wimbo wa Ibada na sifa ulioimbwa katika lugha mbili tofauti yaani Kiswahili na Kizulu Ni Wimbo wa aina yake Ulio tengenezwa kiaina yake. 
Huu ni wimbo ambao umebeba maombi mbele za Mungu tukiamini mkono wake una nguvu ya kuokoa, kuponya na kufariji ndani yetu, Hata tupitapo katika majaribu mkono wake una nguvu ya kugusa na kubadilisha uchungu na huzuni zote kuwa furaha isiyo na mwisho.
Kwa moyo mkunjufu tunakukaribisha kusikiliza wimbo huu mzuri tukiamini kuwa utakubariki na kukuinua, Amen.

KUPATA HABARI ZA KILA SIKU MASAA 24 KWENYE SIMU YAKO KWA KU DOWNLOAD APPLICATION YETU PLAY STORE AU KWA KU BONYEZA HAPA KUI DOWNLOAD <<TOGOLAYA24 APP>>

0 Maoni