KUHUSU TOGOLAY24.

Togolay24 ni chombo cha habari kutokea Nchini Tanzania kinacho milikiwa na Togolay Alfred malube.

MAONO
Kuwa chombo bora cha habari kinachotangaza na Kutoa taarifa na Elimu Mbalimbali kwa Haraka na kwa Muda kwa Watu Wote.

Timu na uongozi wa Togolay24 Media inayofuraha kuzikaribisha Taasisi mbalimbali ikiwemo shule, vyuo, makanisa,Misikiti, mashirika, makampuni na watu binafsi kutangaza kupitia Website hii ili kuifikia jamii inayokusudiwa kwa upana.

Kwa huduma ya matangazo tafadhali wasiliana nasi kupitia simu (whatsapp) +255 652297056 au tutumie barua pepe kupitia togolaymalube@gmail.com


Togolay24 Media inakaribisha maoni, malalamiko na mapendekezo kutoka kwa wasikilizaji Watazamaji na wasomaji wetu.